Arthur Ostyn kurudi Ubelgiji kesho. Arthur Ostyn returns to Belgium tomorrow
Kiungo wa HFC, Arthur Ostyn anatarajia kurudi nchini kwake Ubelgiji kesho baada ya kumaliza shughuli zake hapa Arusha, Tanzania.
Akiwa Arusha, Arthur alifanyia mazoezi yake ya uwalimu Highridge School na wakati huo huo akichezea ama kusukuma kabumbu kwenye timu ya HFC ya Highridge School. Pia alitoa msaada mkubwa kwa makocha Papaa na Bayo kwa kukochi vikosi vga soka vya vijana wa Highridge school.
Arthur pamoja na wenzake wamekuwepo Arusha kwa takribani miezi minne na sasa wanarejea nchini kwao kuendelea na shughuli nyingine ikiwemo kimalizia elimu yao.
Mungu wabariki kwenye safari yenu.
Comments
Post a Comment